Dr John
Pombe Magufuli (Kushoto ) sambamba na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kulia) amehutubia mikutano
mitatu katika maeneo ya makazi ya waliokuwa wakimbizi wa Burundi wa 1972 ya
mishamo kilimomita zaidi 150 kutoka mjini Mpanda, kisha makazi ya katumba na
baadae katika mkutano mkubwa wa hadhara mjini Mpanda na kuahidi kuwatatulia
kero ya kosefu wa barabara inayosababisha kushindwa kupeleka mazao yao sokoni
kutoka katika mikoa ya Katavi, Kigoma na Rukwa kwa kuiunganisha na mikoa
mingine ya Tanzania.
Nao baadhi
ya wananchi waliohudhuria mkutano huo mkubwa wa hadhara katika uwanja wa
kashaulili mjini Mpanda wamesema kiongozi ajaye lazima awe na ujasiri wa
kupambana na vitendo vya rushwa hususani katika ofisi zilizopo chini ya
serikali za mitaa pia mafisadi papa kwani wamechangia kwa kiasi kikubwa
watanzania wengi kuishi katika umasikini uliotokea huku wao wakiishi maisha ya
peponi.BOFYA HAPA KUTAZAMA ZAIDI
|
PAPO KWA PAPO Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo
na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia
tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp
+255789925630. |
No comments:
Post a Comment