LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Mtibwa sasa Pointi 3 mbele baada ya kuicha Mbeya City 2-0. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 26, 2014

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Mtibwa sasa Pointi 3 mbele baada ya kuicha Mbeya City 2-0.

Mbeya City imekiona cha moto baada ya kuchapwa mabao 2-0 nyumbani kwao Sokoine mjini Mbeya na Mtibwa Sugar  ambao wameendeleza wimbi la ushindi baada ya kuibuka na ushindi  huo  ugenini.

 Wafungaji ni Ali Amer na mkongwe Vicent Barnabas.

Kwa ushindi huo, tayari Mtibwa Sugar imezifunga timu kubwa mbili, ikianza na Yanga SC wakati wa ufunguzi wa ligi iliyoishinda kwa mabao 2-0 na sasa iko Pointi 3 mbele ya Azam FC na Yanga SC zilizofungana kwa Pointi 10 kila mmoja.

Jumamosi Oktoba 25,2014.

Stand United 0 - 3 Yanga SC

Azam FC 0 - 1 JKT Ruvu

Tanzania Prisons 1 - 1 Simba SC

Kagera Sugar 1 - 1 Coastal Union 

Ruvu Shooting 1 - 0 Polisi Moro 

Ndanda FC 0 - 1 Mgambo JKT 

  Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630. 
LIGI KUU VODACOM 2014/2015 MSIMAMO 

NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Mtibwa Sugar
5
4
1
0
8
1
7
13
2
Azam FC
5
3
1
1
6
2
4
10
3
Yanga
5
3
1
1
7
4
3
10
4
Coastal Union
5
2
2
1
6
4
0
8
5
JKT Ruvu
5
2
1
2
4
5
-1
7
6
Ruvu Shooting
5
2
1
2
4
5
-1
7
7
Kagera Sugar
5
1
3
1
3
2
1
6
8
Mgambo JKT
5
2
0
3
2
4
-2
6
9
Tanzania Prisons
5
1
2
2
5
5
0
5
10
Simba
5
0
5
0
5
5
0
5
11
Mbeya City
5
1
2
2
1
2
-1
5
12
Stand United
5
1
2
2
3
8
-5
5
13
Ndanda FC
5
1
0
4
7
10
-3
3
14
Polisi Moro
5
1
2
2
3
6
-3
3

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad