Basi la Saratoga lateketea kwa Moto -Kigoma. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Tuesday, August 21, 2018

demo-image

Basi la Saratoga lateketea kwa Moto -Kigoma.

.com/simgad/
moto
Basi la Kampuni ya Saratoga lenye namba za usajili T 476 ADG lililokuwa likitoka mkoani Kigoma kwenda Sumbawanga limeteketea kwa moto eneo la Kijiji cha Kazuramimba mkoani Kigoma.

 Jeshi la Polisi kupitia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, ACP Martin Ottieno limesema kuwa bado linachunguza chanzo cha moto huo.

Kwa mujibu wa Kamanda huyo,ajali hiyo imetokea Jana August 20, 2018 na kwamba  abiria wote wametoka salama na baadhi ya mizigo imeokolewa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *