Taswira Waziri Kigwangalla Afanya Mazungumzo Na Balozi wa Italia Nchini, Roberto Mengoni. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, May 23, 2018

Taswira Waziri Kigwangalla Afanya Mazungumzo Na Balozi wa Italia Nchini, Roberto Mengoni.

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Balozi wa Italia nchini, Roberto Mengoni ofisini kwake Jijini Dodoma leo May 23,2018 ambapo wamekubaliana kuimarisha ushirikiano kwenye tafiti za binadamu wa kale katika eneo la Olduvai, kuboresha utoaji wa elimu hususan ya mapishi ya vyakula vya Kiitaliano katika Chuo cha Taifa cha Utalii na Utangazaji wa vivutio vya utalii nchini. 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Italia nchini, Roberto Mengoni baada ya mazungumzo ofisini kwake Jijini Dodoma leo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akiagana na Balozi wa Italia nchini, Roberto Mengoni baada ya mazungumzo ofisini kwake Jijini Dodoma leo May 23,2018. (Picha na Hamza Temba-WMU)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad