Picha ya Sanduku Maalum litakalotumika Kubebea Kombe la Dunia 2018. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, May 18, 2018

Picha ya Sanduku Maalum litakalotumika Kubebea Kombe la Dunia 2018.

Bado siku chache tu Michuano ya Kombe la Dunia kwa mwaka 2018 ianze nchini Urusi, hii ni Michuano Mikubwa na Mvuto wa Michuano hii unakuja kutokana na Michuano kuwa na utaratibu wa kufanyika mara moja kila baada ya miaka minne.
Kuelekea michuano hiyo Kampuni ya Fashion ya Louis Vuitton imetengeneza sanduku maalum litakalotumika kubebea Kombe la Dunia kwa mwaka huu 2018.






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad