Atletico Madrid yachukua Ubingwa wa Europa League. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Thursday, May 17, 2018

demo-image

Atletico Madrid yachukua Ubingwa wa Europa League.

.com/simgad/
4C55F55E00000578-5737337-image-a-230_1526508573209-950x636
Furaha ya Ubingwa.

Fainali ya michuano ya UEFA Europa League msimu wa 2017/2018 imechezwa May 16,2018  mjini Lyon nchini Ufaransa na Mchezaji Antoine Griezmann ameisaidia timu yake ya Atletico de Madrid kutwaa Ubingwa wa Kombe la EUROPA League 2017/2018 kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Marseille ya Ufaransa.

Griezmann aliweza kucheka na nyavu mara mbili katika dakika ya 21 na 49 huku moja likifungwa na Gabi kwenye dakika ya 89 ya mchezo.

Atletico Madrid walifanikiwa kuingia hatua ya fainali baada ya kuiondoa Arsenal kwa Jumla ya mabao 2-1.

q
4C55EEBA00000578-5737337-image-a-224_1526508277851-950x633

4C55E5F000000578-5737337-image-a-226_1526508279859-950x632
Ubingwa huo sasa ni heshima pia kwa Fernando Torres ambaye ametangaza kuwa huu ndio msimu wake wa mwisho kuichezea Atletico Madrid lakini kama hufahamu tu taji hilo linakuwa ni taji la pili la Europa League kwa Atletico Madrid chini ya kocha Diego Simeone ambaye pia ameiongoza timu hiyo kufika hatua ya fainali ya Champions League na kutwaa mataji ya Copa del Rey, Super Copa, Super Cup na LaLiga.

4C55CDC300000578-5737337-image-a-14_1526506498820-950x616
4C55D1E500000578-5737337-image-a-233_1526508648098-950x627
4C55CD6900000578-5737337-image-a-208_1526505220270-950x685
4C55CD8500000578-5737337-image-a-215_1526505300883-950x605

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *