Kuwa wa Kwanza kuchangamkia Fursa hii Tafadhali. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Saturday, June 17, 2017

Kuwa wa Kwanza kuchangamkia Fursa hii Tafadhali.

Kutoa ni moyo na sio utajiri tukiwa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, Kampuni ya “Nikohub” imekuja na mfumo mpya wa neema yaani kufutulisha watu 100 kila siku bure, popote pale ulipo mkazi wa Dar es salaam hii ni fursa ya pekee!.

Ili upate futari ya bure kupitia ‘Nikohub’ ukiwa hapa Dar es salaam Ingia kwenye Pay Store katika simu yako Download “Nikohub user” kasha jisajili ili uweze kuonekana kwenye mfumo wetu mpya, ukimaliza ku-Download washa GPS kwenye simu yako ili uweze kuwaona wauzaji wa Chakula na Vinywaji wanao kuzunguka katika eneo unaloishi au ulipo kwa sasa watakao kuhudumia.

Ukifanikiwa ku- download  ‘Nikohub’ piga simu au tuma SMS kwenye 0658161950 hiyo ndio Tiketi yako ya Futari kwa leo utaelekezwa eneo la kwenda kula asante.

Post Bottom Ad