SIKILIZA AUDIO:-Diwani wa Kata ya Kasulo wilayani Ngara,Mhe Philbert Kiiza Kuhusu tukio la Ujambazi Benaco/Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, July 07, 2016

SIKILIZA AUDIO:-Diwani wa Kata ya Kasulo wilayani Ngara,Mhe Philbert Kiiza Kuhusu tukio la Ujambazi Benaco/Ngara.

Majambazi waliokuwana na  silaha za moto wamevamia  na kuiba fedha na Simu Dukani kwa Mfanyabiasha wa Miamala ya Fedha ( M PESA )  lililopo Mji mdogo wa Benako wilayani Ngara,Mkoani Kagera na kupora Sh milioni 6 za Kitanzania na elfu 40.

Tukio hilo limetokea jana, July 06, 2016, majira ya saa mbili usiku na  mfanyabiashara aliyevamiwa  ni Bw Nicholas Fortunatus ambaye ameibiwa Shilingi  Milioni 4 na Elfu 40 taslimu pamoja na Simu iliyokuwa na Shilingi Milioni 2 za M-PESA kwenye akaunti.

 Kabla ya kutekeleza tukio hilo, majambazi hao walifyatua risasi 7 hewani mfululizo

Diwani wa Kata ya Kasulo,wilayani Ngara mkoani Kagera ameongea na Mwana wa Makonda Blog kuhusu  hali ikoje mara baada ya kutokea tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad