TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI:- Mwisho wa Kupokea Maombi ni Tarehe 25/5/2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, May 20, 2016

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI:- Mwisho wa Kupokea Maombi ni Tarehe 25/5/2016.

Uongozi wa Moorland Premier Hotels Limited , Hotel Mpya ya Kisasa inayotaraji wa Kufunguliwa rasmi Mwanzoni mwa Mwezi wa saba mwaka huu, unapenda Kuwatangazia Nafasi za Kazi Kama ifuatavyo:-

 1. Meneja wa Hotel - Nafasi (1)

2. Mapokezi -Nafasi (2)

3. Wapishi - Nafasi (4)

4. Wahudumu wa Bar na Hotelini - Nafasi (8)

5. DJ – au Mchezesha Muziki) – Nafasi moja (1)

6. Walinzi - Nafasi Mbili (2)

7. Mtunza Stoo - Nafasi Moja (1)

8. Wafanya Usafiwa wa Ndani - Nafasi tano (5)

9. Mfanya usafi wa Mazingira  – Nafasi Moja (1)

10. Wakala wa Huduma ya  M-Pesa na Bank – Nafasi Moja (1)


Muombaji wawe na Sifa za Msingi  zifuatazo -

·      Awe raia wa Tanzania mwenye umri wa kuanzia miaka kumi na nane (18yrs) na Kuendelea

·      Awe na Hati ya Kuzaliwa ya Tanzania au Kitambulisho cha Makazi yake.

·      Awe anajua kusoma na Kuandika Kiswahili, Kiingereza au Kifaransa.

·      Awe na Vyeti vya Uzoefu Kwenye Kazi husika anayoiomba.


Mwisho wa Kupokea Maombi ni Tarehe 25/5/2016 Saa nne (4:00) Asubuhi

Maombi yote yatumwe kwa Anuani ya baruapepe ya mphngara@gmail.com au yafikishwe Hoteli ya Paradise – iliyopo Nakatunga Mjini Ngara,Kagera.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu +255786 766 322 au +255752 947 726.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad