MAASKOFU KUPEWA FEDHA NA LOWASSA:-Askofu Kilaini Azungumzia Kauli ya Dr Slaa . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 03, 2015

MAASKOFU KUPEWA FEDHA NA LOWASSA:-Askofu Kilaini Azungumzia Kauli ya Dr Slaa .

Askofu Msaidizi wa jimbo katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini ameonesha kusikitishwa na kauli iliyotolewa hivi karibuni na Aliyekuwa katibu Mkuu wa CHADEMA , Dr Wilbroad Slaa kuwa baadhi ya maaskofu wa kanisa hilo wamekuwa wakiohongwa fedha na wanasiasa akiwemo mgombea nafasi ya Urais Edward Lowassa.

Akiongea na waandishi wa habari leo September 03,2015 mjini Bukoba amesema kuwa anaamini kuwa Dr slaa aliteleza kutoa kauli hiyo. 

BOFYA HAPO CHINI KUONA VIDEO ASKOFU KILAINI AKIZUNGUMZIA SAKATA HILO.

 

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad