![]()  | 
| 
 
Halmashauri
ya wilaya ya  Geita, imedai kutumia fedha
za malimbikizo ya  walimu ya katika
matumizi mbalimbali ya halmashauri hiyo ikiwamo kuanzisha na kutekeleza miradi
mbalimbali ya maendeleo. 
Kaimu
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Geita, 
Kawrence Kababezile ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko ya walimu
wilayani humo na kuitaka kulipa deni kwani yamekuwa kikwazo  katika ufanisi wa kazi hali ambayo inapelekea
walimu  wengi kushindwa kuendelea kufanya
kazi kwa moyo. 
Amesema kuwa
fedha za madeni ya walimu zililtumwa na serikali lakini halmashauri hiyo
ilizitumia katika matumizi mengine na kuahidi fedha hizo kulipwa ifikapo
mwishoni mwa mawaka huu. 
Mwenyekiti  wa chama cha walimu wilaya ya Geita mwalimu
Lusato Mashauri, amesema kumekuwa na changamoto 
kubwa  ambazo zinakwamisha ufanisi
wa kazi kwa walimu hao,  kwani wanazidai
halmashauri za wilaya na mji wa Geita zaidi ya Bilioni moja.ZAIDI -SOMA HABARI KWA KUBOFYA HAPA 
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo
na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia
tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.  
 | 
Sunday, September 27, 2015
Home
HABARI
BAJETI YETU:-Fedha za Malimbikizo ya Walimu Geita zatumika katika shughuli Nyingine….Walimu walalama.
BAJETI YETU:-Fedha za Malimbikizo ya Walimu Geita zatumika katika shughuli Nyingine….Walimu walalama.
Tags
# HABARI
      
Sambaza Hii 
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.






No comments:
Post a Comment