TAZAMA PICHA 7:-Ni Taswira ya Majengo ya Ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, December 19, 2014

TAZAMA PICHA 7:-Ni Taswira ya Majengo ya Ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera.

Majengo haya ya Ofisi za Halimashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera licha ya kuwa katika makutano ya barabara kuu ya Burundi-Benaco-Lusahunga hadi Isaka wilayani Kahama mkoani Shinyang’a, eneo la Junction Lakini yamekosa kuboreshwa sambamba na mandhari ya mazingira yake sehemu ya kuingilia lango kuu la ofisi ili kuwa kivutio cha kuwa umeingia Mji wa Ngara.

Unapofika eneo hilo,kivutio kikubwa kimekuwa ni kituo cha mafuta cha NGARA OIL kilichopo pembezoni mwa barabara hiyo ambacho kimejengwa kwa ustadi mkubwa na Mazingira yake kuwa ya mvuto kwa watazamaji wanaopita kupata huduma ya mafuta.




UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad