|
Katibu Mkuu
Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue.
Naibu Katibu
Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi C. Mwihava atakaimu nafasi ya
Katibu Mkuu, ..”Badala yake, Balozi Sefue amesema kuwa Naibu Katibu Mkuu,
Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi C. Mwihava atakaimu nafasi ya
Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini, hadi uchunguzi dhidi ya Ndugu Eliakim
C. Maswi utakapokamilika.Taarifa hiyo ya Balozi Sefue pia imekariri kauli ya
Rais Kikwete katika hotuba yake kwa Taifa jana, Jumatatu, Desemba 22, 2014
ambako Rais alisema:
“Kuhusu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, kwa vile ni Mtumishi wa Umma,
anatawaliwa na Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma, hivyo nimeshaelekeza
Mamlaka kuchunguza tuhuma zake na hatimaye ikibainika ana makosa hatua za
kinidhamu zitachukuliwa.”
Wakati huo
huo, Rais Kikwete ameelekeza kuwa pamoja na hatua nyingine zinazochukuliwa, Shirika
la Umeme (TANESCO) waendelee na majadiliano na IPTL kuhusu uwezekano wa
kushusha tozo la uwekezaji (capacity charge) zaidi ya punguzo la awali
lililopatikana kupitia Kituo cha Kimataifa cha Kusuluhisha Migogoro ya
Kimataifa
|
No comments:
Post a Comment