KATIBA MPYA TANZANIA:-Kanisa Katoliki Tanzania limewataka wajumbe wa UKAWA kurudi Bungeni. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET

Post Top Ad

Thursday, July 03, 2014

KATIBA MPYA TANZANIA:-Kanisa Katoliki Tanzania limewataka wajumbe wa UKAWA kurudi Bungeni.

Kanisa katoliki limewataka wajumbe wa bunge la katiba wanaounda umoja wa
katiba ya wananchi Ukawa kurudi bungeni na kuendelea kuijadili rasimu ya pili
ya katiba bila masharti yoyote huku bunge hilo likitahadharishwa na upotoshwaji
au uchakachuaji wowote utakaofanywa dhidi ya rasimu hiyo ambayo ni maoni
yaliyokusanywa kutoka kwa wananchi.

ITV

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad