Utafiti wa wanandoa kufanya tendo katika maisha yao
ya ndoa kwanzia siku 1-mwaka mmoja wanandoa wanaenda mzunguko kwa wiki mara nne
mpaka tano na haswa ambao hajaolewa akiwa na mimba, Miaka 2-3 hawa kwa wiki
wanaenda mzunguko mara tatu, miaka 4-5 kwa wiki wanaenda mzunguko mara mbili na
kwamiaka 5-na kuendelea kwa wiki wanaenda mzunguko mara moja na pia inawezakana
wasizunguke kabisa hata wiki nzina wengine hata wiki mbili
KWANINI: Mwaka wa kwanza wa ndoa bado ndio mmetoka
kwenye uchumba tena mwanzo mlikuwa mnaibia masaa ambayo mlikuwa mnakutana
yalikuwa bado hayawatoshi kupeana raha kikamilifu kwahiyo mnapooana mnakuwa
bado very active katika mzunguko na kuwa pamoja ukiangalia tena ndani ya nyumba
mpo wawili tu bado hamjaanza kuumiza vichwa kwa majukumu makubwa kwahiyo mara
nyingi mpo kwenye love mood kuwa pamoja, kubembelezana, kushikana, yani
haubanduki kwa mwenzio.
Mwaka wa 2-3, hapa sasa ndio MUNGU amewabariki labda
mwanamke umepata mimba, sasa kile kipindi chote cha mimba kama tunavyojuwa
mwanamke unakuwa huna hamu ya mzunguko mara kwa mara na kwakuwa yule mwanaume
na yeye ndio mtoto wake wa kwanza basi wote mpo kwenye furaha ya kuwa wazazi
akili zenu na feelings zenu zinakuwa kwenye mimba na mtoto ajaye, kwahiyo
mnajikuta mnahamishia mapenzi mengi pale mpaka mwili wako utakapojisikia hamu
ya mzunguko ndio uombe upewe au pale mwanaume anapojisikia leo nahitaji kumpa
mke wangu basi atakuandaa ili umpe.
Na kama ndani ya miaka hii mwanamke hana mimba mara
nyingi wao kwa wao wanakuwa na mawazo kwanini hawapati mimba na wengine mpaka
wanachoka kabisa mzunguko maana anajua akishazungushwa baada ya hapo wataanza
kusikilizia kama mimba imeingia au la, kwahiyo idadu ya siku za mzunguko
zinaanza kupungua japo mkikutana mnahakikisha iwe hodari yenye kuchangamka..
Miaka 4-5 hapa sasa ndio miaka ile wenye ndoa ndio
wameshazoeana kupita kiasi hekaheka za ndoa zimeshawachanganya mpaka sasa wewe
ukipewa sawa usipopewa sawa, miaka hii ndio wanaume wanapocharuka kwa kuwa na
wanawake nje, wanaume ni watu wa kuchoka na kukinai tofauti na sisi kwakuwa
sisi wanawake tunapenda kwa MOYO yani hata miaka mingapi bado utampenda mumeo
kama mmelandana lakini wanaume wanapenda kidogo kwa moyo ila zaidi kwa matendo
kwahiyo anapokuwa ameshakuwa na wewe miaka mpaka minne anakuwa anakinai
anatafuta kitu fresh kutoka nje na ukichunguza hiki kitu hata siku moja
mwanaume hawezi kumuacha mke wake na kwenda kutongoza tena mke wa mtu huwa
wanaenda na young blood, msichana wa chuo, ama ambao hawajaolewa kwahiyo huko
anachangamshwa akirudi nyumbani kwakuwa ameshamzoea mkewe anampa tu mara moja
au mbili tena ni bao moja tu kwa wiki
Miaka 5 na kuendelea hapa ndio inaitwa ndoa
iliokomaa sisi tunasema kama ndoa yako haijavunjika ndani ya miaka mitano basi
itadumu sana labda litokee jambo mbele ambalo haliwezi zuilika, hapa sasa
mnakuwa mnapendana ki mwili ndoa yenu inakuwa na mambo mengi ambayo nyie wawili
mnayapenda na kutaka kuyaendeleza zaidi kuliko mzunguko hapa sasa mzunguko ni
asilimia ndogo sana inayoongoza ndoa ila kubwa ni upendo wa ukweli hapa ndio
pale mwanamke mumeo anarudi anakubusu na kukumbatia anakuonyesha mapenzi tele wewe
na watoto na anaweza asikuzungushe wiki nzima na wala usione kama ni mbaya...
Unapotaka kuwa mke wa fulani au unapokuwa kwenye
ndoa tambua upo kwenye kurasa gani na vipi ukae na mumeo sio kila mara mwanaume
anapokuja nyumbani na hajakuzungusha basi amezungusha nje hapana huyo atakuwa
mwanaume wa aina gani kila siku ya MUNGU anazungusha tuuuuuuuuu
Tujitahidi wapendwa kubebea misalaba ya ndoa zetu na
tujue kuishi na wame zetu vyema na tutumikie ndoa zetu...
Source:Mwanamke na Nyumba.
No comments:
Post a Comment