![]() |
Benchi la wachezaji wa akiba la Ngara Stars ya mjini Ngara mkoani Kagera . |
![]() |
Mashabiki wakifatilia mchezo kati ya Ngara Stars dhidi ya Nyaishozi FC ambayo ilikubali kufungwa mabao 3-1 katika
uwanja wao wa Nyumbani wa Nyaishozi.
|
![]() |
Mgogoro ukazuka na mchezo kusimama kwa dakika 5 baada ya refari mwenye kibagarashia kichwani kushindwa kutafasiri vyema sheria 17 za mchezo wa soka uwanjani.
|
![]() |
Benchi la wachezaji wa akiba la Nyaishozi FC ya
Kata ya Nyaishozi ,wilayani Karagwe mkoani Kagera .
|
No comments:
Post a Comment