Msanii Diamond amfanyia Surprise Mzee Ngurumo kwenye Uzinduzi wa Video yake kwa Kumpa Gari kama Shukrani ya Mchango wake Kwenye Sanaa ya Muziki Nchini Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, August 30, 2013

Msanii Diamond amfanyia Surprise Mzee Ngurumo kwenye Uzinduzi wa Video yake kwa Kumpa Gari kama Shukrani ya Mchango wake Kwenye Sanaa ya Muziki Nchini Tanzania.

Nikikutajia Jina la Muhidini Gurumo
 basi utajua namzungumzia nani.

Nguli wa muziki wa Dansi nchini Tanzania.....

Takribani wikii imepita toka kusikika
kwa habari za kweli kuhusu kustaafu
muziki kwa Mzee Gurumo,binafsi sikuwahi
kukutana nae hadi leo hii nilipokutana nae
kwenye uzinduzi wa Video yangu.

Nilimualika mzee huyu kwa mapenzi yote,niliskia
 juzi pia akisema amekuwa akipendezwa na
style ya muziki wangu na kucheza pia hayo ni moja wapo ya mambo pia
yaliyonivutia kutaka kumuona mzee huyu.

Nilipitia kwenye mitandao mingi uku ikiandikwa
kusemekana kutokana na kauli ya mzee
Gurumo ameweza kuwa kwenye fani zaidi
ya miaka 50 lakini akuwahi bahatika hata kuwa na Baiskeli....

Jambo ili lilinigusana na kuniumiza moyoni,
kuona nguli kama huyu wa muziki
kunena vile na kuomba msaada,
Binafsi leo usiku nimemtunuku Gari
Mpya mzee Gurumo kwenye uzinduzi wa Video yangu.

Nimeamua kutoa kwa moyo mmoja na
 kwa mapenzi yangu yote kwa mzee wangu.

Tukio ili limetokea tarehe 29.0.2013
nimeamua kukuwekea picha kadhaa
jinsi hali ilivyojri mara tu ya kumalizika
 kwa Launching ilikuwa
suprise kwa mzee wangu Gurumo....

    …..By…Diamond…..

Mzee Gurumo akionesha Ufunguo juu baada ya kumkabidhi Gari kama
zawadi yangu kwake....

Furaha iliyoje ndani ya Moyo wangu kupewa baraka na Mzee wangu..... Sauti yake tu.....Iliwafanya wageni wote kuimba nae muda huu.



Tukelekea Nje kwenda kumkabidhi Mzee Gurumo mkoko wake.....




Pichani juu nigari aina ya FunCargo lenye namba za usajili T  789 AYS alilopewa Mzee MuhidinGurumo na msanii mahiri wa muziki wa Bongofleva, Nasibu Abdul 'DiamondPlatnumz' wakati akizindua video yake mpya iitwayo 'Number One' jana katikahoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.





Picha zaidi …….http://www.thisisdiamond.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad