Arsenal
imefuzu kuingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa usiku huu, kiulaini
ikiitoa Fenerbahce.
Arsene
Wenger sasa anatakiwa hadi usiku wa Jumatatu kumaliza tatizo lake sokoni kwa
kununua wachezaji.
Mabao
mawili ya Aaron Ramsey Uwanja wa Emirates katika dakika za 24 na 72 usiku huu
yameifanya Arsenal iwatoe Waturuki kwa jumla ya 5-0 baada ya awali kushinda
3-0 ugenini.
Sasa
Arseenal wanaungana na Mabingwa wa England, Manchester United, Manchester City
na Chelsea, kwenye Droo ya kupanga Makundi ya UEFA Champions League itakayofanyika
Agosti 29 huko Monaco.
Pamoja
na Arsenal, Timu nyingine zilizofuzu kuingia hatua ya Makundi hiyo Jana ni
Schalke, walioifunga PAOK ya Ugiriki Bao 3-2, Steau Bucharest, ilitoyoka Sare
Mechi zote mbili na Legia Warsaw na wao kusonga kwa Goli za Ugenini, Basel na
FK Austria Wien.
UEFA Champions League.
RAUNDI
YA MCHUJO-Mechi za Marudiano
Jumanne
Agosti 27,2013.
[Kwenye
Mabano Jumla ya Magoli Mechi mbili]
PAOK
FC - Greece 2 Schalke 04 – Germany 3 [3-4]
Legia
Warsaw - Poland 2 FC Steaua Bucuresti – Romania 2 [3-3, Steau wasonga Gola za
Ugenini]
FC
Basel 1893 - Switzerland 2 Ludogorets Razgrad – Bulgaria 0 [6-2]
FK
Austria Wien - Austria 2 NK Dinamo Zagreb – Croatia 3 [4-3]
Arsenal
FC - England 2 Fenerbahçe – Turkey 0 [5-0]
Leo
zipo Mechi nyingine 5 za Raundi ya Mchujo ambazo Washindi wake watano
wataungana na Washindi watano wa Jana na Timu 22 zilizopitishwa moja kwa moja
kwenye Droo ya kupanga Makundi ya UEFA Champions League.
UEFA
Champions League
RAUNDI
YA MCHUJO-Mechi za Marudiano
[Saa
za Bongo]
Jumatano
Agosti 28,2013.
[Kwenye
Mabano Matokeo Mechi ya kwanza]
19:00
Zenit St. Petersburg - Russia v Pacos Ferreira – Portugal [4-1]
21:45
Celtic – Scotland v Shakhter Karagandy - Kazakstan [0-2]
21:45
AC Milan – Italy v PSV Eindhoven - Netherlands [1-1]
21:45
Real Sociedad - Spain v Olympique Lyonnais - France [2-0]
21:45
NK Maribor - Slovenia v FC Viktoria Plzen - Czech Republic [1-3]
KLABU
22 ZINAZOANZA MOJA KWA MOJA HATUA YA MAKUNDI.
-Bayern
Munich
-Atlético
Madrid
-Benfica
-Shakhtar
Donetsk
-Manchester
United
-Borussia
Dortmund
-Paris
Saint-Germain
-Olympiacos
-Manchester
City
-Bayer
Leverkusen
-Marseille
-Galatasaray
-Chelsea
-Juventus
-CSKA
Moscow
-Anderlecht
-Barcelona
-Napoli
-Ajax
-FC
Copenhagen
-Real
Madrid
-Porto
No comments:
Post a Comment