Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza na Juu ya kilele cha miamba (Picha na Mdau g Sengo).
|
Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza. |
Eneo la kihistoria lililojengwa zama za ukoloni na Wajerumani
lililo juu ya kilele cha moja ya miamba katikati ya mji, ambapo jiji la Mwanza
linategemea kulifanya kituo cha utalii.
|
Kipande cha makoroboi na barabara ya Nyerere Mwanza.... jijini Mwanza.
|
Kipande cha maeneo ya karibu na msikiti wa Ibadhi... jijini Mwanza.
|
Mtaa wa Liberty na maboresho speed
mdogo mdogo.. jijini Mwanza.
|
Juu kwa juu na barabara ya Nyerere... jijini Mwanza.
|
No comments:
Post a Comment