Wananchi wa Ghana wilayani Ukerewe watangaza Vita na Mbwa ambao wamekua wakiwauma Watu na Kuwajeruhi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, March 05, 2013

Wananchi wa Ghana wilayani Ukerewe watangaza Vita na Mbwa ambao wamekua wakiwauma Watu na Kuwajeruhi.


Hili ni Jeraha la Mama  aliyeumwa na Mbwa huko Kisiwani Ghana  wilayani ukerewe leo (March 05,2013)Asubuhi.

Aidha Wananchi wa  Ghana wametangaza Vita na Mbwa hao.


Tunaomba radhi kwa picha hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad