![]() |
|
Akaunti ya
mtoto Anthony Petro Magogwa.
Jina la
Account:
Petro,
Niyosaba and Paphilius
A/C Na.
01523 46697000
CRDB
Jina la
kwanza ni la baba wa mtoto
Jina la pili
ni la Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya
Jina la tatu
ni la Paroko wao
Imefanyika
hivyo ili kudhibiti matumizi ya fedha kwa kuwa watoto bado ni wadogo.
|
![]() |
Mtoto Anthony Petro aliyetangulia
akiwa na Baba Yake Mzazi, Mzee Petro Magogwa walipowasili Ofisi za Radio
Kwizera mjini Ngara.
Pamoja na Familia hiyo kutoa shukrani kwa
wanaojitokeza kuwasaidia ,Afisa Ustawi wa Jamii wilayani Ngara mkoani Kagera
Bw. Musa Balagondoza wakati akitoa ufafanuzi wa namna ya kumsaidia Mtoto
Anthony kupitia kipindi cha Mchakato hapa Redio Kwizera ametoa wito kwa Watu
wote walioko ndani na nje ya wilaya ya Ngara kufuata utaratibu wa kupita ofisi
ya Ustawi wa Jamii ama Ofisi ya Mkurugenzi kabla ya kuifikia Familia ya Mzee Petro
Magogwa.
|
![]() |
Pichani Juu
na Chini ni Baadhi ya Watumishi wa Kituo cha Radio Kwizera ,Ngara wakimpokea
Mtoto Anthony na Baba yake Mzee Petro Magogwa walipokuja kuzungumza na
wasikilizaji wa Kituo hicho kupitia kipindi cha Mchakato hapa Redio Kwizera.
Habari /
Picha Na RADIOKWIZERA.CO.TZ
|










No comments:
Post a Comment