Alichokizungumza Rais Magufuli kuhusu Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, September 04, 2016

Alichokizungumza Rais Magufuli kuhusu Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein.

Kituo cha Azam TV kimeripoti kwamba September 03,2016, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa kwenye ziara yake visiwani Zanzibar ametoa hotuba ambapo amemshauri Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kuwa mkali zaidi huku akizungumia tukio la Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein wakati akimsalimia.

>>>’kama mtu anaukataa mkono wako na wewe kataa mkono wako kufanya mambo yake, ajifunze ajue mkono wako una thamani, haiwezekani mbele ya watu unashike mkono anakataa halafu unatoka ofisini unasema unasaini hapa hela ya huyu kwenda kutibiwa’:-JPM

Hapa Chini Tazama hii Video ilivyokua.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad