Mchezaji wa Bayern Munich Franck Ribery atwaa Tuzo ya UEFA ya Mchezaji Bora Ulaya kwa Msimu wa 2012/13 na kuwabwaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, August 29, 2013

Mchezaji wa Bayern Munich Franck Ribery atwaa Tuzo ya UEFA ya Mchezaji Bora Ulaya kwa Msimu wa 2012/13 na kuwabwaga Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.



Franck Ribéry.
Mchezaji wa Bayern Munich, Raia wa Ufaransa Franck Ribéry  ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya kwa mwaka 2012 - 2013.

Ribéry amewabwaga wachezaji Cristiano Ronaldo wa Real Madrid na Lionel Messi wa Barcelona. 

Ribery was instrumental in Bayern's Bundesliga, DFB Pokal and Champions League treble in 2012/13 and was voted the Best Player in Europe by journalists representing the 53 Uefa nations.

Tuzo hiyo imetolewa wakati wa kupanga Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) leo(Agosti 29,2013) kwa msimu huu 2013/2014  huko Mjini  Monaco na Makundi 8 ya Timu 4 kila moja yamepatikana ambapo Timu zitacheza Mechi za Nyumbani na Ugenini kuanzia Septemba 17. 

Msimu wa 2011/14 tuzo hiyo ilikwenda kwa kiungo wa Barcelona, Andrés Iniesta.


DROO YA MAKUNDI UEFA 2013/2014.

KUNDI A: 

-Manchester United

-Shakhtar Donetsk

-Bayer Leverkusen

-Real Sociedad:



KUNDI B: 

-Real Madrid

-Juventus

-Galatasaray

-FC Copenhagen

KUNDI C: 

-Benfica

-Paris St-Germain

-Olympiakos

-Anderlecht

KUNDI D:

-Bayern Munich

-CSKA Moscow

-Manchester City

¬Viktoria Plzen

KUNDI E:

-Chelsea

-Schalke

-FC Basel

-Steaua Bucharest

KUNDI F: 

-Arsenal

-Marseille

-Borussia Dortmund

-Napoli

KUNDI G: 

-Porto

-Atletico Madrid

-Zenit st Petersburg

-FC Austria Vienna:

KUNDI H: 


-Barcelona

-AC Milan

-Ajax

-Celtic


Tangu Tuzo hii ianzishwe na UEFA Mwaka 2011, hii ni mara ya kwanza kwa Mchezaji nje ya Barcelona na Real Madrid kufika kwenye Tatu bora.



Katika Mwaka wa kwanza, Messi ndie alietwaa Tuzo hiyo na Mwaka uliofuata alikuwa ni Andres Iniesta.



Straika wa Real Madrid, Ronaldo, yeye amefika Tatu bora mara zote tatu.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad