![]() |
Didier Drogba. |
Katika Mechi
hiyo Theo Walcott aliipa Bao Arsenal katika Dakika
ya 39 na Drogba kusawazisha kwa Penati kwenye Dakika ya 79 na kufunga Bao la
ushindi katika Dakika ya 87.
Awali FC
Porto ya Ureno iliinyuka Napoli ya
Italia Bao 3-1 kwa Bao za Ghilas, Federico Fernandez aliejifunga mwenyewe na
Lica huku Bao la Napoli likifungwa na Gorav Pandev kwa Penati.
MSIMAMO
EMIRATES CUP 2013.
1
Galatasaray Pointi 6
2 FC Porto 3
3 Arsenal 1
4 Napoli 1
![]() |
Drogba
amefunga mabao dakika za lala salama Kombe la Emirates jana (Agosti 04,2013)
kwa Penati kwenye Dakika ya 79
na kufunga Bao la ushindi katika Dakika ya 87.
|
![]() |
Drogba
akishangilia baada ya kufunga bao la pili kuiua Arsenal Nyumbani kwao Emirates
na kulikosa Kombe lao wenyewe la Emirates Cup, baada ya Galatasaray ya Uturuki kushinda
kwa Bao 2-1.
|
![]() |
Yaya Sanogo aliyesajiliwa kutoka Klabu ya Ozere ya Ufaransa ameng'ara katika michuano yake ya kwanza ya Kombe la Emirates.
|
![]() |
Kocha wa
Arsenal, Arsene Wenger alivyokuwa baada ya kipigo na kulikosa Kombe lao wenyewe
la Emirates Cup, baada ya Galatasaray ya Uturuki kushinda kwa Bao 2-1.
|
![]() |
Emamanuel
Eboue (kulia) alikuwa Nahodha wa Galatasaray ilipomenyana na timu yake ya
zamani , Arsenal.
|
![]() |
Walcott
akishuhudia krosi yake ikiipa Arsenal bao la kuongoza katika mchezo wa kuwania kombe la Emirates 2013.
|
No comments:
Post a Comment