Hali ya barabara ya Nyakanazi(Kagera) kwenda Kakonko (Kigoma). - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, March 29, 2018

Hali ya barabara ya Nyakanazi(Kagera) kwenda Kakonko (Kigoma).

‘’Kutokana na Mvua zinazonyesha sasa maeneo mengi nchini, hali ni Mbaya barabara ya Nyakanazi(Kagera) kwenda Kakonko (Kigoma), mamia ya wasafiri wamekuwa wakipata changamoto eneo hilo baada ya kukwama wakitokea maeneo mbalimbali nchini hususani Kigoma, Mwanza, Kahama na Kagera. Bila shaka TANROAD wanapaswa kuitazama kwa ukaribu barabara hii wakati kasi ya mkandarasi wa barabara hii kutoka Nyakanazi hadi Kabingo akiendeleza kujenga kwa kasi ndogo sana’’-Prosper Laurent Kwigize.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad