

![]() |
|
Alexandre
Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Arsenal dakika ya 20 na
lingine dakika ya 67 kwa penalti katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Bromwich
Albion kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza 2017/2018 Usiku wa Jana Jumatatu
September 25,2017.
Kubwa
lingine katika mchezo huo ni Alexandre Lacazzete anafikisha bao lake la 4 msimu
huu idadi sawa na mabao waliyofunga West Brom hadi sasa.
|









No comments:
Post a Comment