Picha za tukio la Wananchi kuchoma na kupiga mawe basi baada ya Basi hilo kuua mtu wilayani Mkalama mkoa wa Singida. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, August 24, 2013

Picha za tukio la Wananchi kuchoma na kupiga mawe basi baada ya Basi hilo kuua mtu wilayani Mkalama mkoa wa Singida.

Hizi ni baadhi ya picha za basi la Turu linalo fanya safari kati ya singida na Haydomu mkoani Manyara likiwa limepigwa mawe na kuchomwa moto na wananchi wa vijiji vitatu vya Nkungi, Singa na Hilbadamu wilayani Mkalama mkoa wa Singida  , kufuatia Basi la  kampuni hiyo wiki tatu zilizo pita kumburuza ajenti wa Mabasi hayo umbali wa km 1.5 na kusababisha kifo chake.


Tukio hilo la aina yake liliwaacha abiria waliokuwemo katika basi hilo na kutokufahamu mustakabali mzima wa safari yao.

Picha na Elisante Mkumbo – Singida.

Huu ndio uharibifu uliofanywa na wananchi waliokuwa na hasira kufuatia kifo cha mwenzao ambaye anasadikiwa kuuwawa na Basi hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad