Shirikisho la Soka Afrika, CAF,
limetangaza Majina ya Wachezaji kwenye Listi ya awali ya Wagombea 32 wa Tuzo ya
Mchezaji Bora Afrika toka Klabu za Afrika kwa Mwaka 2012 na miongoni mwao ni
Staa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta, anaechezea TP Mazembe ya Congo DR.
Listi nyingine ni ile ya
Wachezaji 34 ambao wanawania Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika na hii inao Wachezaji
wanaocheza nje ya Afrika akiwemo Yaya Toure wa Manchester City ambae ndie
alitwaa Tuzo hii Mwaka jana.
CAF limetangaza kuwa Listi hizo
za awali zitapunguzwa hadi Majina 10 kwa wale wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora
Afrika na 5 toka ile Listi ya kina Mbwana Samatta kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora
kwa Klabu za Afrika ifikapo mwishoni mwa Oktoba.
Baada ya hapo Majina hayo 15 toka
Listi hizo mbili yatawasilishwa kwa Vyama vya Soka vya Nchi Wanachama, Makocha
Wakuu wa Timu za Taifa na Makatibu wa Wakuu kuteua Majina matatu kwa kila Listi
kutinga Fainali ambapo hapo Desemba 20 Wachezaji Bora watatangazwa na kupewa
Tuzo.
Pamoja na Tuzo za Wachezaji Bora
pia Kocha Bora na Klabu Bora watazawadiwa Tuzo katika Sherehe maalum hapo
Desemba 20 huko Mjini Accra, Ghana.
LISTI YA AWALI YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA:
- Abdelaziz Barrada - Getafe (Spain) and Morocco
- Adel Taarabt - Queens Park Rangers (England) and Morocco
- Alain Sibiri Traore - Lorient (France) and Burkina Faso
- Alexander Song - Barcelona (Spain) and Cameroon
- Andre 'Dede' Ayew - Marseille (France) and Ghana
- Arouna Kone - Wigan (England) and Ivory Coast
- Aymen Abdennour - Toulouse (France) and Tunisia
- Bakaye Traore - AC Milan (Italy) and Mali
- Cheick Tiote - Newcastle United (England) and Ivory Coast
10. Christopher Katongo - Henan
Construction (China) and Zambia
11. Demba Ba - Newcastle United
(England) and Senegal
12. Didier Drogba - Shanghai
Shenhua (China) and Ivory Coast
13. Emmanuel Agyemang-Badu -
Udinese (Italy) and Ghana
14. Emmanuel Mayuka - Southampton
(England) and Zambia
15. Foxi Kethevoama - FC Astana
(Kazakhstan) and Central African Republic
16. Gervinho - Arsenal (England)
and Ivory Coast
17. Hilaire Momi - Le Mans
(France) and Central African Republic
18. John Obi Mikel - Chelsea
(England) and Nigeria
19. John Utaka - Montpellier
(France) and Nigeria
20. Kwadwo Asamoah - Juventus
(Italy) and Ghana
21. Moussa Sow - Fenerbahce
(Turkey) and Senegal
22. Nicolas N'koulou - Marseille
(France) and Cameroon
23. Papiss Demba Cisse -
Newcastle United (England) and Senegal
24. Pape Moussa Konate - FC
Krasnodar (Russia) and Senegal
25. Pierre-Emerick Aubameyang -
St Etienne (France) and Gabon
26. Rainford Kalaba - TP Mazembe
(DR Congo) and Zambia
27. Seydou Doumbia - CSKA Moscow
(Russia) and Ivory Coast
28. Seydou Keita - Dalian Aerbin
(China) and Mali
29. Sofiane Feghouli - Valencia
(Spain) and Algeria
30. Stoppila Sunzu - TP Mazembe
(DR Congo) and Zambia
31. Victor Moses - Chelsea
(England) and Nigeria
32. Yaya Toure - Manchester City
(England) and Ivory Coast
33. Younes Belhanda - Montpellier
(France) and Morocco
34. Youssef Msakni - Esperance
(Tunisia) and Tunisia
MCHEZAJI BORA TOKA KLABU YA
AFRIKA:
Na/ Jina / Klabu/ Nchi anayotoka
1 Abdelmoumen Djabou [Club
Africain Algeria]
2 Ahmed El-Basha Al Merreikh
Sudan
3 Ahmed Zuway CA Bizertin Libya
4 Abdoulrazak Fiston
Lydia Academic Burundi
5 Alou Bagayoko Djoliba Mali
6 Alula Girma St. Georges
Ethiopia
7 Azuka Bobo Izu Sunshine Stars
Nigeria
8 Boubacar Bangoura Djoliba
Mali
9 Edward Sadomba Al Hilal
Zimbabwe
10 Essam El Hadary Al Merreikh
Egypt
11 Emmanuel Atukwei Clottey
Eseperance [Ghana]
12 Given Singuluma TP Mazembe
Zambia
13 Hamouda Ahmed El Bashir
Al Ahly Shandy Sudan
14 Harrison Afful Esperance Ghana
15 Ismailia Diarra Cercle
Olympique de Bamako Mali
16 João Hernani Rosa
Barros: Interclub Angola
17Mohamed Aboutreika Al-Ahly
Egypt
18 Mongezi Bobe BIack Leopards
South Africa
19 Mudather ElTaieb Al Hilal
Sudan
20 Mxolisi Mthethwa Royal
Leopard Swaziland
21 Oboabona Godfrey
Sunshine Stars Nigeria
22 Omar Mohamed Bakheet Al
Hilal Sudan
23 Rainford Kalaba TP Mazembe
Zambia
24 Razak Yakubu Al Ahly Shandy
Ghana
25 Samatta – Mbwana TP Mazembe
Tanzania
26 Solomon Asante Berekum
Chelsea Ghana
27 Stoppila Sunzu TP Mazembe
Zambia
28 Taboko Eric Nyemba AC
Leopard DolisieDR Congo
29 Tresor Mputu Mabi TP Mazembe
DR Congo
30 Walid Hicheri Esperance
Tunisia
31 Yannick N’Djeng Cameroon
Esperance
32 Youssef Msakni Tunisia
Esperance
No comments:
Post a Comment