Barabara ya Usinge-Kigoma Abiria wanalazimika Kutembea kwa Miguu kilometa za kutosha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, April 20, 2018

Barabara ya Usinge-Kigoma Abiria wanalazimika Kutembea kwa Miguu kilometa za kutosha.

Hii ndio adha ya usafiri iliyopo kwa sasa Usinge,Tabora kuelekea mkoani Kigoma, abiria wanalazimika kutembea kwa miguu kilometa za kutosha wakiwa na watoto pamoja na mizigo yao kuyafuata magari yalipokomea. Msaada wa dharura unahitajika.

Picha na Hassan Hamis.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad