Watu 7 wafariki Dunia kufuatia Ajali ya Lori la Mizigo Mkoani Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, March 21, 2018

Watu 7 wafariki Dunia kufuatia Ajali ya Lori la Mizigo Mkoani Kigoma.

Kuna taarifa ya ajali imetokea mkoani Kigoma eneo la milima ya Kasagamba barabara iendayo nchini Burundi usiku wa kuamkia leo March 21, 2018, Lori la mizigo aina ya Scania inaelezwa lilifeli break na taarifa za za awali zinaelezwa  kwamba Kuna vifo  vya Watu 7 na wengine Wamejeruhiwa.

 

Baadhi ya Wananchi wakishuhudia ajali hiyo iliyotokea eneo la milima ya Kasagamba barabara iendayo nchini Burundi usiku wa kuamkia leo March 21, 2018, na lori la mizigo aina ya Scania likiwa limeharibisha vibaya . 


TAARIFA ZAIDI TUTAWALETEA.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad