Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akitia saini Nyaraka zenye majina ya Wafungwa 61
waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili ya Familia ya Nguza Viking
(Babu Seya), na Johnson Nguza waliopata msahama wa Rais, katika Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma.
Kulia ni Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa
akishuhudia.
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumzia msamaha
alioutoa jana kwa wafungwa waliokuwa wanatumikia vifungo mbalimbali magerezani.
Kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Magereza
Dkt. Juma Malewa akisikiliza.
PICHA NA IKULU.
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamishna
Jenerali wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa mara baada ya kutia saini majina
ya wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili ya Wafungwa
Nguza Viking(Babu Seya), na Johnson Nguza waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha
maisha jela.
|
No comments:
Post a Comment