Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mbunge wa Songea Mjini - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, November 24, 2017

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mbunge wa Songea Mjini

Rais Mhe. Dkt. John P. Magufuli.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri, Mhe Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Tutubert Gama.

Mbunge wa Songea Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Leonidas Gama amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Peramiho, Ruvuma.

Soma zaidi;

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad