EPL 2017/2018-Everton 2-5 Arsenal. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, October 22, 2017

EPL 2017/2018-Everton 2-5 Arsenal.

Mchezaji Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 74 katika ushindi wa Timu ya Arsenal wa 5-2 dhidi ya Everton leo October 22,2017 Uwanja wa Goodison Park kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England 2017/ 2018. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Nacho Monreal dakika ya 40, Mesut Ozil dakika ya 53, Aaron Ramsey dakika ya 90 na Alexis Sanchez dakika ya 90 , wakati ya Everton iliyomaliza pungufu baada ya mchezaji wake, Idrissa Gueye kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano yamefungwa na Wayne Rooney dakika ya 12 na Oumar Niasse dakika ya 90.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad