Taswira Picha Ajali ya basi la SATCO eneo la Sekenke Leo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 25, 2017

Taswira Picha Ajali ya basi la SATCO eneo la Sekenke Leo.

Ni Ajali ya basi la SATCO  kutoka Dodoma kuelekea Mwanza,imetokea leo September 25, 2017 katika eneo la Sekenke,mkoani Singida ambapo taarifa za awali zinasema kuwa hakuna vifo ila kuna majeruhi.

Taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea hapa.









Add caption

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad