tenco

DSTV

Header Banner

Taswira Picha Rais Nkurunzinza wa Burundi na Mwenyeji wake Dkt. Magufuli walivyowasili Ngara,Kagera.

Rais wa Taifa la Burundi,Mhe. Pierre Nkurunzinza amewasili Nchini Tanzania katika Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera na kupokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli na kupigiwa mizinga 21 pamoja na kukagua gwaride lililoandaliwa na JWTZ.Baada ya mapokezi hayo msafara wa viongozi hao sasa uko Ngara Mjini ambako kunamkutano wa hadhara viwanja vya Posta ya Zamani baada ya mazungumzo mafupi.