Taswira Picha Rais Dkt Magufuli Mgeni rasmi katika sherehe za Ufunguzi wa barabara Mjini Biharamulo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 19, 2017

Taswira Picha Rais Dkt Magufuli Mgeni rasmi katika sherehe za Ufunguzi wa barabara Mjini Biharamulo.

Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli yuko Mkoani Kagera na Leo July 19, 2017  ,Ni mgeni rasmi katika sherehe za Ufunguzi wa barabara Kigoma-Biharamulo-Lusahunga ( km 154 ) ambao unafanyika mjini Biharamulo.

Taarifa zaidi kuhusu Rais Magufuli kufungua na kuzindua Miradi 9 Mkoani Kagera,Kigoma,Tabora na Singida-BOFYA HAPA KUITAZAMA RATIBA.
Baadhi ya Wananchi wa wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye yuko Mkoani Kagera na Leo July 19, 2017  Ni mgeni rasmi katika sherehe za Ufunguzi wa barabara Kigoma-Biharamulo-Lusahunga ( km 154 ) ambao unafanyika mjini Biharamulo.

Burudani toka vikundi mbalimbali ikiendelea kutumbuizwa wakati wa kumpokea Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye yuko Mkoani Kagera.
Wananchi wa Biharamulo Mjini wakimpokea Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli ambaye yuko Mkoani Kagera na Leo July 19, 2017  na atakua mgeni rasmi katika sherehe za Ufunguzi wa barabara Kigoma-Biharamulo-Lusahunga ( km 154 ) ambao unafanyika mjini Biharamulo.Post Bottom Ad