Taswira Picha Basi la BATCO lilivyoteketea kwa Moto. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, June 13, 2017

Taswira Picha Basi la BATCO lilivyoteketea kwa Moto.


Basi la BATCO lenye namba za usajili T 192 DHW limeteketea kwa moto Jumamosi ya June 10, 2017 majira ya saa Saba mchana eneo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa wilayani Butiama Mkoani Mara.

Gari hilo lilikuwa linafanya safari zake kutoka Tarime-Sirari na Mwanza huku Chanzo cha kuteketea basi hilo hakijajulikana, ambapo zaidi ya abiria 75 waliokuwa ndani wakinusurika.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Jaffari Mohamed akizungumzia tukio hilo amesema wanafuatilia kubaini chanzo cha ajili hiyo iliyosababisha mali za abiria kuteketea kwa moto, huku abiria 75 waliokuwamo wakinusurika kifo.


Post Bottom Ad