pesaaa

DSTV

Header Banner

Picha-Lori laferi breki na kuyagonga Magari mawili eneo la Machinjioni/Benaco -Rusumo.

Ajali hii imetokea eneo la Machinjioni barabara ya Benaco kuelekea Rwanda kabla ya kufika Boda ya Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera.

 

Chanzo cha ajali hiyo ni kufeli kwa breki na kusababisha kuyagonga magari mengine mawili.

Ajali hiyo imelihusisha Lori  Mali ya Kampuni ya MWANAMBOKA na hakuna kifo chochote ,zaidi ya majeruhi.