Picha –Ajali ya Hiace na Toyota Land Cruiser yaua Watu 3 na Kujeruhi wilayani Kahama. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Saturday, June 03, 2017

Picha –Ajali ya Hiace na Toyota Land Cruiser yaua Watu 3 na Kujeruhi wilayani Kahama.

Gari la Abiria namba T 702 CFT likiwa limeharibika baada ya kupata Ajali.

Taarifa zinaarifu kuwa ya ajali hii imetokea June 02,2017 majira ya saa tatu asubuhi ikilihusisha gari la abiria aina ya Hiace lenye namba za usajili T 702 CFT iliyokuwa ikitoka Kakola wilaya ya Msalala Shinyang’a ikielekea Kahama ,Shinyanga kugongana na gari aina ya Toyota Land Cruiser namba T221 DAP  na imeripotiwa kusababisha vifo 3 na majeruhi waliokimbizwa hospitali ya wilaya Kahama.

 Ajali hii imetokea eneo la  Ntobo karibu na kijiji cha Segese.

Gari aina ya Toyota Land Cruiser namba T221 DAP  likiwa limeharibika vibaya kwa mbele baada ya ajali eneo la  Ntobo karibu na kijiji cha Segese.


Mashuhuda wakishuhudia ajali hii imetokea June 02,2017 majira ya saa tatu asubuhi ikilihusisha gari la abiria aina ya Hiace lenye namba za usajili T 702 CFT iliyokuwa ikitoka Kakola wilaya ya Msalala Shinyang’a ikielekea Kahama ,Shinyanga kugongana na gari aina ya Toyota Land Cruiser namba T221 DAP  na imeripotiwa kusababisha vifo 3 na majeruhi waliokimbizwa hospitali ya wilaya Kahama.


Post Bottom Ad