Manchester United- Timu yenye thamani kubwa Duniani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 08, 2017

Manchester United- Timu yenye thamani kubwa Duniani.

Picha ya Furaha ya Ubingwa 2016/2017.

Manchester United wameshinda fainali ya Kombe la Europa kwa kuifunga Ajax Amsterdam kwa mabao 2-0 mjini Stockholm Sweden.

 Klabu ya Manchester United imetajwa kuwa ndio timu yenye thamani kubwa duniani kwa mujibu wa jarida la habari za biashara la Forbes

Man United inathamani ya kiasi cha Pauni billion 2.86 hii ni mara ya kwanza kwa Man United kuongoza listi hiyo katika miaka mitano.
Hii ni mara ya 12 kwa Real Madrid kuwa Mabingwa wa Ulaya. 

FC Barcelona wako katika nafasi ya pili wakiwa na thamani ya pauni bilioni 2.82, Mabingwa wa Ulaya Real Madrid wakoa katika nafasi ya tatu wakiwa na thamani ya Pauni bilioni 2.77.

Timu zinazofuata kwa thamani Duniani.

4) Bayern Munich - $2.71bn (£2.10bn)

5) Manchester City - $2.08bn (£1.61bn)

6) Arsenal - $1.93bn (£1.50bn)

7) Chelsea - $1.85bn (£1.43bn)

8) Liverpool - $1.49bn (£1.15bn)

9) Juventus - $1.26bn (£980m)

10) Tottenham - $1.06bn (£820m)

Post Bottom Ad