Futuru Nasi ‘’NIKO HUB’’ kila Siku Kuanzia Leo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, June 16, 2017

Futuru Nasi ‘’NIKO HUB’’ kila Siku Kuanzia Leo.

Mambo yanazidi kuwa mazuri kwa wanaoenda na wakati kadri siku zinavyo zidi kwenda kufuatia ukuaji wa kitekenolojia siku  hadi siku, hali hii inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa kimaendeleo  Duniani hasa kwa kurahisisha vyanja za utendaji kazi katika biashara.

Dar es salaam  Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine msimu huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tulio uanzisha wa kiteknolojia “Nikohub”tumeanza mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa muda wa siku kumi.

Ili upate kushiriki Futari unatakiwa ku-download  Nikohub kwenye Play Store katika simu yako. 

Kisha jiunge ili tuweze kukuona kwenye mfumo wetu na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.

Ukifanikiwa ku-downloda tutumie SMS au piga 0765802457 tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo ya huko uliko ni bure!.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad