Tazma Goli walilokosa Simba SC na Mzamiru atalikumbuka Daima. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Friday, May 12, 2017

Tazma Goli walilokosa Simba SC na Mzamiru atalikumbuka Daima.

Mchezaji wa Simba SC, Laudit Mavugo akiwa na mcezaji wa Stand United na Simba SC kushindwa bao 2-1 katika mchezo huo wa Ligi kuu soka Tanzania bara 2016/2017 ukichezwa leo May 12, 2017  katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

 Mchezaji Suleiman Kassim ‘Selembe’ aliipa Stand United Bao kabla hata Dakika 1 kutimia lakini Juma Luizio akaifungia Simba SC magoli mawili katika  Dakika za 24 na 34.
Wekundu wa Msimbazi Simba SC sasa wanafikisha pointi 65 baada ya ushindi wa leo wakiwa wamecheza mechi 29, mbili zaidi ya mabingwa watetezi, Yanga SC wenye pointi 62, ambao wanaweza kurudi kileleni kwa mabao zaidi, wakiifunga Mbeya City kesho  May 13, 2017 Uwanja wa Taifa.
VPL – LIGI KUU VODACOM TANZANIA BARA-2016/2017.

Jumamosi May 13, 2017

JKT Ruvu v Maji Maji FC

Tanzania Prisons v Ndanda FC

Mtibwa Sugar v Mwadui FC

Yanga SC v Mbeya City

Jumapili May 14, 2017.

African Lyon v Ruvu Shooting

Jumanne May 16, 2017

Yanga SC v Toto Africans

MECHI ZA MWISHO

Jumamosi May 20, 2017.

Azam FC v Kagera Sugar

Maji Maji FC v Mbeya City

Simba SC v Mwadui FC

Mbao FC v Yanga SC

Stand United v Ruvu Shooting

Mtibwa Sugar v Toto Africans

Tanzania Prisons v African Lyon

Ndanda FC v JKT Ruvu

HAPA CHINI GOLI WALILOKOSA SIMBA LITAZAME.

Post Bottom Ad