Taswira Picha Mzani wa Kihonda-Mkoani Morogoro. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Saturday, May 06, 2017

Taswira Picha Mzani wa Kihonda-Mkoani Morogoro.

Baadhi ya Mabasi  yakiwa kwenye  foleni ndefu kusubiri kupima uzito katika mzani  uliopo eneo la  Kihonda , nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro  barabara kuu ya Morogoro- Dodoma ,kama yalivyokutwa leo Asubuhi May 6, 2017.

kuwepo kwa  mzani wa upande mmoja pekee kunasababisha  msongamano mkubwa wa gari  pande zote  mbili Morogoro - Dar es Salaam na Morogoro- Dodoma kutokana na mizani kuwa upande mmoja  tofauti na eneo la Mikese ama Kibaha , mkoa wa Pwani.
Picha na Mdau- Deus Salum

Post Bottom Ad