Picha -Timu ya Ruvu Shooting Ilivyopata Ajali -Singida. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 21, 2017

Picha -Timu ya Ruvu Shooting Ilivyopata Ajali -Singida.

Msafara wa Kikosi na Viongozi wa Timu ya Ruvu Shooting Umepata Ajali mbele Kidogo ya Singida wakiwa safarini kurejea Jijini Dar es Salaam.

Ruvu Shooting walikuwa njiani wakiokea mkoani Shinyanga walipocheza mchezo wao wa kumalizia msimu wa Ligi Kuu soka Vodacom Tanzania bara  2016/2017  hapo jana May 20, 2017  dhidi ya Stand United  na Stand United  kuilaza bao 2-1 Ruvu Shooting Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

Taarifa kutoka kwa mmoja wa wachezaji waliokuwapo zinasema kwamba gari  hilo likiwa katika Mwendo, tairi lilipasuka na kusababisha gari kuhama Njia na kuparamia miti iliyokuwa jirani.

Hakuna mtu yoyote aliyeumia sana japo kuna mchezaji mmoja ambaye amepata Majeraha ya kawaida na gari lao kuharibika.

Post Bottom Ad