pesaaa

DSTV

Header Banner

Picha- Hali halisiiliyopo Eneo la Kemondo karibu na Sheli -Barabara ya Bukoba-Geita.

Mawasiliano yamekuwa ya tabu sana kwa Magari na Wasafiri wanaotumia  Barabara Kuu inayounganisha Mji wa Bukoba mkoani Kagera na Maeneo jirani ya Mkoa wa Geita,Mwanza na Shinyang’a  kutokana na barabara hiyo kuu kuharibika vibaya eneo la Kemondo kama picha zinavyoelezea ,uharibifu uliosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani Kagera na maeneo mbalimbali  hapa nchini.