Matukio Yaliyojiri Bungeni Dodoma Leo May 31,2017. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, May 31, 2017

Matukio Yaliyojiri Bungeni Dodoma Leo May 31,2017.

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiingia bungeni huku akiongozwa na askari wa bunge Bunge ili kuanza kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo.

 Jumatano hii, katika kikao cha 38, mkutano wa 7 Bunge la 11 mjini Dodoma, wabunge mbalimbali waliuliza maswali na kujibiwa na serikali.

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akisoma dua ya kuliombea Bunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo

Picha zote na Maelezo.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk.Medard Kalemani akiwasilisha Randama za Makadirio na Matumizi ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo May 31, 2017.

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo May 31, 2017.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo May 31, 2017.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akifuatilia jambo kutoka kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk.Suzan Kolimba katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Kazi,Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akimskiliza Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 .
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11.

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe.Dk Charles Tizeba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo May 31, 2017.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Ritta Kabati akiuliza swali katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 .

Mbunge wa Arumeru Mashariki(CHADEMA) Mhe.Joshua Nassari akifurahi jambo na Mbunge wa Momba(CHADEMA) Mhe.David Silinde katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo May 31, 2017.

Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mhe.Catherine Ruge akiuliza swali katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11.


Mbunge wa Iramba Mashariki(CCM) Mhe.Allan Kiula akiuliza swali katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo May 31, 2017.

Post Bottom Ad