Manchester United yachapwa 2-1 huku Mashabiki wa Spurs na Furaha ya kuuga Uwanja wa Miaka 118. - Mwana Wa Makonda

Breaking

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 14, 2017

Manchester United yachapwa 2-1 huku Mashabiki wa Spurs na Furaha ya kuuga Uwanja wa Miaka 118.

The prolific striker managed to get a flick on Christian Eriksen's whipped in free-kick after Dele Alli was fouled
Ligi kuu soka Nchini Uingereza imechezwa leo May 14,2017 kwa Manchester United kuzabwa bao 2-1 huko White Hart Lane Jijini London na kuipa Tottenham Hotspur njia laini kushinda kwenye Mechi yao ya mwisho Uwanjani hapo ambao utafungwa kwa Matengenezo makubwa na kuunganishwa na Uwanja Mpya Jirani na huo.

 Tottenham walifunga Bao zao kupitia Victor Wanyama, Dakika ya 6, na Harry Kane, Dakika ya 48, huku Man United wakipata Bao lao Dakika ya 71 kupitia Kepteni wao Wayne Rooney.
Victor Wanyama broke the deadlock with a powerful header to send White Hart Lane into raptures early on
Wanyama wheeled away in celebration with Harry Kane as Spurs got off to the perfect start against Manchester United 
Katika mechi hii, Manchester United hawakuipa nguvu sana kwa kuchezesha kikosi chepesi  na kuelekeza nguvu zao kwenye Fainali ya UEFA EUROPA League 2016/2017 ambayo watacheza na Ajax ya Uholanzi May 28, 2017.

Ushindi huu umewaweka Tottenham Hotspur nafasi ya Pili kwa Pointi 80 nyuma ya Mabingwa wapye wa 2016/2017 Chelsea wenye Pointi 87,Liverpool walioshinda bao 4-0 dhidi ya West Ham United  wakijikita nafasi ya tatu na Pointi  73,Manchester City walioshinda bao 2-1 kwa Leicester City  wakikaa nafasi ya nne kwa Pointi 72 ,Arsenal ya tano na Pointi 69 baada ya kushinda 4-1 dhidi ya Stoke City huku Manchester United ikiwa ya sita na Pointi zake 65.

Mara baada ya Mechi kwisha, Mashabiki wa Spurs walivamia Uwanjani kuuga Uwanja wao kama Picha hapa chini nimekuwekea zikionesha zaidi.

Supporters gathered hours ahead of kick-off as they prepared to say goodbye to White Hart Lane after 118 years
LIGI KUU ENGLAND 2016/2017.

Jumatatu May 15, 2017

2200 Chelsea v Watford            

Jumanne May 16, 2017.

2145 Arsenal v Sunderland        

2200 Manchester City v West Bromwich Albion         

Jumatano May 17, 2017.

2145 Southampton v Manchester United        

Alhamisi May 18, 2017.

2145 Leicester City v Tottenham Hotspur         

Jumapili May 21, 2017.

Mechi za Mwisho za Ligi, zote kuanza Saa 11 Jioni

Arsenal v Everton           

Burnley v West Ham United                

Chelsea v Sunderland                

Hull City v Tottenham Hotspur             

Leicester City v Bournemouth              

Liverpool v Middlesbrough         

Manchester United v Crystal Palace                

Southampton v Stoke City         

Swansea City v West Bromwich Albion           

Watford v Manchester City
Some stood next to the White Hart Lane road sign as they posed for photographs as they soaked in the atmosphere
Shirts with 'I was there' were sold as supporters flocked to get a piece of history that they can hang on to
'Farewell, thanks for the memories... History, Pride, Passion' was another message printed on shirts ready for sale

White Hart Lane as Spurs supporters have got used to this season as construction continues on the new stadium
The new stadium has started to engulf the old one and will be a state of the art facility ready to house more fans than before
Tottenham will play their home games at Wembley next season before moving into their new ground in August 2018
Fans take photographs of a section of the new ground before the Premier League game against Manchester United
Massive progress is expected to be made over the next year as Tottenham prepares to move into their new home

Post Bottom Ad