Mafunzo JKT May 2017-Soma Hapa Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, May 24, 2017

Mafunzo JKT May 2017-Soma Hapa Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa.

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita mwaka 2017 kutoka Shule zote za Tanzania Bara ambao watahudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.

 JKT imepangia Makambi kwa wanafunzi hao ambako watapatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu wakitakiwa kuripoti kuanzia May 25 – 30 2017.

Soma Majina hayo kwa Bonyeza HAPA HAPA HAPA

Post Bottom Ad