pesaaa

DSTV

Header Banner

Kutana na Mbuzi hawa hupanda juu ya Miti kujitafutia Chakula.

 Mbuzi huu anakula, unarikiri yuko wapi?.. Yuko juu ya mti. Maeneo kama haya ya Morocco mbuzi hupanda juu ya mti kujitafutia chakula.


Mbuzi hawa wamepanda juu ya mti wa Argan kutafuta matunda na majani.

 Matunda ya mti wa Argan ni chakula cha mbuzi


Mbuzi juu ya mti kujitafutia chakula...BOFYA HAPA UTAZAME PICHA ZAIDI.