Kangi Lugola- Askari Wanaojificha na Tochi Vichakani Hawana Mafunzo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, May 10, 2017

Kangi Lugola- Askari Wanaojificha na Tochi Vichakani Hawana Mafunzo.

Mbunge wa Mwibara, Mhe.Kange Lugola amesema kuwa Majeshi ya Polisi, Magereza, Uhamiaji na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji hapa nchini yamesahaulika na yanachukuliwa kama ni ya kawaida huku watendaji wake wakichukuliwa kama hawana taaluma hiyo (professionalism).

Msikiliza hapa Chini kwa Kubofya Play.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad